TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,501
- 14,693
Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu.
Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui.
Umaskini ni laana, laana hii imekuwa ikipita kizazi kimoja hadi kingine na laana zote zinasimamiwa na madhababu.
Sasa bro, madhabahu zilishakula sadaka ili ziendelee kuachilia laana
Hesabu 22:6-7
[6]Basi, njoo wewe, nakusihi unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitawaweza, tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye umbarikiye hubarikiwa, na yeye umlaaniye hulaaniwa.
Come now therefore, I pray thee, curse me this people; for they are too mighty for me: peradventure I shall prevail, that we may smite them, and that I may drive them out of the land: for I wot that he whom thou blessest is blessed, and he whom thou cursest is cursed.
[7]Wazee wa Moabu, na wazee wa Midiani, wakaenda, wakichukua ujira wa uganga mikononi mwao; wakamfikilia Balaamu, wakamwambia maneno ya Balaki.
And the elders of Moab and the elders of Midian departed with the rewards of divination in their hand; and they came unto Balaam, and spake unto him the words of Balak.
Unaweza kumpa mtu msaada wa kumkwamua kiuchumi lakini nyuma ya huyu mtu kuna nguvu inayomwacholia umasikini.
Utampa mtaji, atatapeliwa, utampa mara ya pili, atapata hasara, yaani ataendelea hivyo hadi atakapo kombolewa kutoka kwenye hizo laana.
Tena hiyo nguvu inayosimamia hiyo laana ya umasikini ukijidai bro Buji unaendelea kupambana nayo, utajikuta inakufilisi wewe.
Haya mambo ya vita za watu yaache kabisa