Dogoli kinyamkela
Senior Member
- Nov 21, 2024
- 157
- 248
BUILD YOURSELF
If you build a woman, empower her more than yourself she will leave you. Let me tell you why.
The reason why she will leave you is simply because the woman nature crave to end up with men who are higher than them age wise, money wise, educational wise and material wise.
The moments she's ascends more than you, she starts looking for men who are more than her and that's definitely not you.😎😎
Women believes that they is nothing a man below them can offer to them that they can't offer to themselves and this is why they will never settle for that man who is below them.😊😎😎
You have to understand that a woman's love is always hinged on something and that's something is not definitely you but the resources that you have to offer her, if you are below her she can not love you, she will disrespect you and punish you for that.😎😎😎
No matter how much you love a woman, always prioritize building yourself 10× before her, she will hardly leave you for that.
😎😎🥸🥸😎
IN SWAHILI LANGUAGE
Kama utamjenga mwanamke,na kumwezesha zaidi kukushinda wewe,Ni lazima Atakuacha siku moja, acha nikueleze ni kwanini..!
Sababu kubwa na ya msingi ya kukuacha,ni kua kiasili mwanamke,anavutiwa na kufukuzia kuishi,au kuishia na mwanaume mwenye vigezo vya juu kumzidi yeye,yaani mwenye umri kumzidi,mwenye pesa kumzidi, mwenye elimu kumzidi,na aliye mzidi samani,na thamani....sasa wewe ambaye huna elimu yoyote tumia pesa na jasho lako kusomesha mtoto wa mtu uone jiwe la utosi Kama halijakuua,🤣🤣🤣😎😎
Siku ambayo mwanamke wako utakapo mwinua na akafanikiwa,kua juu yako,ndio ticket ya yeye kuanza kutafuta mwanaume aliye juu yake,vivo hivyo huyo automatic atakua amekuzidi nawewe vigezo...maana umezidiwa na mwanamke wako🤣🤣🤣😎
Wanawake wapumbavu wengi hubomoa nyumba zao kwa mikono yao,maana wengi hudhani hakuna kitu mwanaume aliye chini yake kiuwezo anaweza kumfanya,hivyo kichwa na mabega yao hupokea mzigo na begi la jeuri,🤣😎😎
Hivyo kama mwanaume tegemea vifurushi vya madharau.🥲
Ifike mahali utambue ya kua,upendo wa mwanamke umefungwa kwenye vitu fulani anavyokutazama navyo,,,hata Kama ni yeye kakutongoza,nenda taratibu na huo mtumbwi wa vibwengo...🤠🤠
Haijalishi kijana ni kwa kiasi gani,unampenda mwanamke.
Nguvu kubwa itumie kujijenga,
Content created by : Dogoli kinyamkela