Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

Hammer11

JF-Expert Member
Feb 18, 2024
1,079
1,622
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke maskini kuliko mwanamke tajiri kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maskini.

hivyo basi mapenzi yako usiyaweke zaidi kwenye kumpa pesa na vizawadi siku akikutana na mwanaume mwenye uwezo wa kumpa pesa zaidi yako utaachwa asubuhi na mapema. ndo maana nashauri ni bora mwanaume ukawekeza zaidi kwenye maisha yako kuliko kuwekeza kwa mwanamke sababu haina faida yoyote.

unaweza kuwalaumu wanawake ila ugumu wa maisha kwa kiasi kikubwa umefanya wanawake waamini kuwa mahusiano kwao ni kama ajira haishangazi unakutana na mwanamke leo unamtongoza leo na leo leo gesi imeisha, kodi imeisha na anataka kwenda saluni.

ukiona mwanamke wako anakuwa na vijitabia na usumbufu usiokuwa wa kawaida usiwaze sana elewa kuna kitu haujampa ndo maana leo anakununia kesho anakufurahia.

mwisho, sio wanawake wote wako hivyo ndo maan nimeandika asilimia 99 ila hao wengine 1 ni kweli wanakuja kwako kwa ajili ya mapenzi ya kweli ila wako wachache......
 
Huko ni kupoteza muda wako bure, hakuna mapenzi ya kweli, hakuna upendo wa agape.

Hakuna mtu anaweza kukupenda tu bila sababu.

Hakuna mtu asiyependa hela.
 
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke maskini kuliko mwanamke tajiri kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maskini.

hivyo basi mapenzi yako usiyaweke zaidi kwenye kumpa pesa na vizawadi siku akikutana na mwanaume mwenye uwezo wa kumpa pesa zaidi yako utaachwa asubuhi na mapema. ndo maana nashauri ni bora mwanaume ukawekeza zaidi kwenye maisha yako kuliko kuwekeza kwa mwanamke sababu haina faida yoyote.

unaweza kuwalaumu wanawake ila ugumu wa maisha kwa kiasi kikubwa umefanya wanawake waamini kuwa mahusiano kwao ni kama ajira haishangazi unakutana na mwanamke leo unamtongoza leo na leo leo gesi imeisha, kodi imeisha na anataka kwenda saluni.

ukiona mwanamke wako anakuwa na vijitabia na usumbufu usiokuwa wa kawaida usiwaze sana elewa kuna kitu haujampa ndo maana leo anakununia kesho anakufurahia.

mwisho, sio wanawake wote wako hivyo ndo maan nimeandika asilimia 99 ila hao wengine 1 ni kweli wanakuja kwako kwa ajili ya mapenzi ya kweli ila wako wachache......
Kwani kuna aliyekwambia kuwa amewekeza kwenye wanawake au unaelezea uzembe wako kinamna? Hata akiwekeza kwa wanawake wewe inakuhusu nini? Kama huna jambo la kueleza ni bora kunyamaza na kuwasoma wenzako unaweza kujfunza kitu kikakusaidia maishani badala ya kuanzisha nyuzi zisizo na faida hata kwako ukiachia wengine ambao hata kama hawakwambii unawakwaza kiasi cha kukushangaa namna unavyowaza.
 
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke maskini kuliko mwanamke tajiri kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maskini.

hivyo basi mapenzi yako usiyaweke zaidi kwenye kumpa pesa na vizawadi siku akikutana na mwanaume mwenye uwezo wa kumpa pesa zaidi yako utaachwa asubuhi na mapema. ndo maana nashauri ni bora mwanaume ukawekeza zaidi kwenye maisha yako kuliko kuwekeza kwa mwanamke sababu haina faida yoyote.

unaweza kuwalaumu wanawake ila ugumu wa maisha kwa kiasi kikubwa umefanya wanawake waamini kuwa mahusiano kwao ni kama ajira haishangazi unakutana na mwanamke leo unamtongoza leo na leo leo gesi imeisha, kodi imeisha na anataka kwenda saluni.

ukiona mwanamke wako anakuwa na vijitabia na usumbufu usiokuwa wa kawaida usiwaze sana elewa kuna kitu haujampa ndo maana leo anakununia kesho anakufurahia.

mwisho, sio wanawake wote wako hivyo ndo maan nimeandika asilimia 99 ila hao wengine 1 ni kweli wanakuja kwako kwa ajili ya mapenzi ya kweli ila wako wachache......
Mbaya zaidi akijua password yako ya ATM ipo siku utasikia wakwe wanakushukuru kwa kuwajengea nyumba usiyoijua
 
Back
Top Bottom