Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,426
7,806
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekuchaa

Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen

Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The military confirms that a missile originating in Yemen impacted in central Israel a short time ago, saying “attempted interceptions did not succeed.”

It says further details are being checked.

The Magen David Adom ambulance service says 14 people were lightly hurt in the missile strike in Tel Aviv, most of them as a result of broken glass.

A few others were bruised while rushing to shelters.

Times of Israel
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Mkuu haingii akilini,yaani uuwe au ujeruhi watu wako,kama sababu yakuivamia nchi nyingine!!,navoijua Israeli huwa hawana mda hata wakutengeneza sababu,wakiamua uvamia tu,maadamu washapeleleza baasi,Hilo ni pigo toka kwa adui.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekuchaa

Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen

Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The military confirms that a missile originating in Yemen impacted in central Israel a short time ago, saying “attempted interceptions did not succeed.”

It says further details are being checked.

The Magen David Adom ambulance service says 14 people were lightly hurt in the missile strike in Tel Aviv, most of them as a result of broken glass.

A few others were bruised while rushing to shelters.

Times of Israel
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
 
Nawewe jamaaa wenzio awapendi izi habari wao wanataka tu kusikia Israel inatwanga inapiga sasa kumbe nawao wananyooshwa!!! Afu kuna jinga moja linakuja na UZi wa mapambio Eti Iran ingekuwa ndio Israel kuna watu wangefuraiya mijitu mijinga kweli yani Iran ndio inaikosesha Aman israel miaka na miaka wkt uko Iran ipo tulivu swafiiii na full Aman sijui nivile Israel inavicha ukweli wa kipigo inachopekea ndio watu wajinga wanadhani Israel niseem nzuli kuishi. Kumbe apana tena Apana siwezi na atuwezi ishi ktk nchi time yoyote mnatakiwa mkimbilie kwenye mashimo kama panya. Israel ishafeli kwenye air DFNS. Kwasasa inaendeoea kupigwa au marekani itakimbilia UN kama ilivokuwa kwa Hezboollah
 
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
wenye Israel yao wa matombo wamechafukwa na habari umewaalibia weekend mapema. Kuwapa ukweli na wenyewe washazoea kudanganywa au na Habari mapambio bin propaganda. Ukweli mwiko kwao Telaviv mpaka sasa wanatafuta watu kwenye vifuzi shambulizi ili NO1 kwauwalibifu ndani ya Israel kitu kimetua seem muimu kiuchumu. Na wameambiwa wawe tayali mizigo ya aina iyo inakuja vell son ndanj y Telaviv..
 
Iyo habari imekuuma leo ndio umeona siku ya kumuliza Engilish kapata ngapi!!!!! Akiletaga habari inakufuraisha mbona amtaki kujua kiswahili kapata ngap!! Mmezoeya kudanganywa povu lako nenda nalo Telaviv wenzio bado wanatafuta watu kwenye vifusi!! English yake itakusaidia nn ww mnunua udongo.
Jikite kwenye hoja.
 
Israeli kesha kata mikono mitatu ya Irani (Hamas,Hezbollah na Syria) umebaki Houthi unatapatapa utakatwa soon,baada ya hapo kiwiliwili ambayo ni Iran yenyewe inaenda kutenganishwa na cancer Ayatola,Iran mpya inakuja
IRAQ ngangali Hezbollah yupo ngangali Hamas ardhin yupo ngangali Yemen mziki ndio kwanza unaanza akuna aliekata moto. ukiona Gaza wanauliwa raia ujue kuna IDF wameuwawa ivyo asila zao wanaenda piga raia. HAMAS wako oky sana. Kwasasa lengo ni kuzuiya watu kusheelekea mwaka mpya ndani ya Israel ndio unaona moto unaopelekwa!!!!
 
Iyo habari imekuuma leo ndio umeona siku ya kumuliza Engilish kapata ngapi!!!!! Akiletaga habari inakufuraisha mbona amtaki kujua kiswahili kapata ngap!! Mmezoeya kudanganywa povu lako nenda nalo Telaviv wenzio bado wanatafuta watu kwenye vifusi!! English yake itakusaidia nn ww mnunua udongo.
Mzee ndio hata kuandika hujui?
 
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
Utumwa wa fikra na kukariri ni tatizo lako kubwa sana, kujua lugha sio ndio kusoma, lugha ni jambo jingine na na kusoma ni jambo lingine usikariri
 
Back
Top Bottom