Heading iweke hivi " Azam Marine New Speed Boat arrived today at Zanzibar"
Kwamba mabasi yake yatakua yanapaa au?Siku huyu jamaa akija kuamua kuwekeza kwenye ma buss makampuni mengi sana yatakimbia
Wataanza kumtolea kijicho cha husda ..
Wazee wa figisu.
Hahah! Mkuu unazungumzia lile boti la BagamoyoWeka na ile ya dar kunduchi
Kwani bakhresa mweupe?,kwa taarifa yako bakhresa anasaidia jamii yake kuliko hao matajiri wote unaowajua combined,tofauti yake yeye huwa haiti waandishi wa habari tu.Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
Unajuaje ndio alichomaanisha?
Labda alitaka kusema chombo hicho kilikuwa kimeshafika leo asubuhi, akimaanisha kilifika jana, juzi, wiki iliyopita, huwezi jua.
Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
Acha wivu mkuu, mbona Bakhresa anasaidia sana jamii kwa huduma anazotoa, hata pipi na biskuti unazowaletea watoto wako tu ni product ya Mzee wetu tajiri.Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
bafu la nje mkuu ,hadi upite nyumba 2,3 ndo ufike bafuni.Hivi bado Tupo tunaovaa taulo kwenda kuoga duh!
Hahah! Mkuu unazungua lile boti la Bagamoyo