SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Kupanda thaman kw shilingi kunategemea na ukuwaji wa uchumi asa uchumi wetu ndo hivyo tena såsa BOT hata wakisema itasaidia nn?Bank kuu tafadhalini angalieni jinsi shiling inavyoendelea kupotea, imechukua muda mrefu shiling kuanza kuwa stable lakini imechukua siku nne kuanguka inaelekea kwenye 2500 kwa dolla na 3000 kwa pound tafadhali biashara zetu zinapata stress na kuporomoka pia saidieni ili tusipotee kabisa
hawa wako bize kutoa ruzuku kwa akina lipumba na mtungi, ku stabilize shilingi si priority.Bank kuu tafadhalini angalieni jinsi shiling inavyoendelea kupotea, imechukua muda mrefu shiling kuanza kuwa stable lakini imechukua siku nne kuanguka inaelekea kwenye 2500 kwa dolla na 3000 kwa pound tafadhali biashara zetu zinapata stress na kuporomoka pia saidieni ili tusipotee kabisa
Soon bei elekezi ya Unga na Mchele itatolewa!Hiyo BoT wana bidhaa za kuuza nje?
Hiyo BoT wana kiwanda?
Tunaposema wanahitajika washauri wa uchumi si mnaona hatujasoma?
Huku kwetu unga wa sembe kilo ni 1,800=.
Mkuu nchi inajiandaa kuwa Kama Zimbabwe halafu wewe unataka dola ipande sahau kabisa.Bank kuu tafadhalini angalieni jinsi shiling inavyoendelea kupotea, imechukua muda mrefu shiling kuanza kuwa stable lakini imechukua siku nne kuanguka inaelekea kwenye 2500 kwa dolla na 3000 kwa pound tafadhali biashara zetu zinapata stress na kuporomoka pia saidieni ili tusipotee kabisa