Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah...!! sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafungukakumbe picha ya Sokwe..!! basi tokea jana mpaka leo bado ananitafuta
________////////______////////______///////________