Bosi nimekugundua

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
250
Ngoja ni cheke kwanza     Leo nilikuwa nipo nawasiliana na bosi wangu kupitia sms sasa kuna jina nimemsevu sasa kila nikisearch naona linakuja group la the bold simulizi ikibidi nitoe macho     haaa kuja kundua Mimi na bosi tuko group moja Whatsap!!! Yaani tunasoma simulizi Makala wala hatujuani kuwa tuko same group tuko hote Chit Chat
sasa kwakuwa nimekundua na wewe bado hujanigundua tutaenda sawa tu bosi wangu. Kugundua identity ya mtu JF ni kazi sana labda uwe na mautunduutundu lakini bosi nimekung'amua
nakuona bosi nakuona unakula tu ubuyu huku unapitia Uzi wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…