Bosi kamganda Dangote kaisahau Tiptop

Huo mstari lazma umsumbue Babu Tale maana kilichosemwa ni kweli" Madee kasema bdo wanautafakari huo mstari then wataongea wameuchukuliaje, Fella kasema pia alimwambia Babu Tale kuhusu hilo asijisahau akaisahau TipTop Connection..
Ila akumbuke Tip Top Connexion ndio waliomfikisha hapo alipo na kama ukimsoma vizuri Babu Tale anashindwa kutamka kwamba ameshajiondoa TTC.
 
n kweli kabisa bora mkubwa fella anacheza kokote yaan babu tale yeye yupo bize na diamond n wcb bora raymond alisoma nyakati maana angekuwa bado anasota tip top
 
Jamani suala la kufa na tai shingoni gumu! Mtu unaona mambo hayaendi ufanyaje miaka yenyewe hii ya kuhesabu.
 
Leo mnaponda babutale kwa kutowasaidia wasanii lkn kila siku mnafungua thread za kumponda babutale ni mnyonyaji sasa siwaelewi. Labda huwezi jua ameamua kuwa saidia wale watakao ifuata mikataba yake, hivi haijuilizi mtu kama chid benz kwa nn hawaja wakimbilia wana hip hop (include roma) wenzake na akaenda kwa babutale, kwa sababu wanahip hop wengi wanafiki, wanaponda wabana pua lkn kwenye chorus zao wanapasema. Alafu huyo roma sio mwana harakati wakati wakampeni alimpigia debe lowasa ila ukirudi ktk nyimbo yake ya mechi za ugenini Kuna mstari unasema "WALIOACHA TIZI WAKAWA KAMA MRISHO NGASA MIMI NAKOMBA PESA ZOTE NASEPA KAMA LOWASA" huu si unafiki, ila si shangai labda atakuwa tayari kashachukua chake ila ROMA nimemtoa ktk kundi la wanaharakati ROMA ni mwanasiasa always anaangalia kwenye maslai. Wabongo wengi tunaangalia - ve na +ve, mi nampongeza babutale kwa kuokolea chid benzi na kuwa saidia hao wachache je huyo ROMA kamsaidia nani au KIKI.
 
Ukiwa na Babu Tale lazma akuibiee wee akichoka ndo anakutosa anataka Ufuate anavotaka YeyeMe namkubali Salaam SK maneja wa 2, wa Diamond yule jamaa anajua strategy zote za mziki hasa show za Nje za Diamond na Endorsement za Makampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…