Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 18,813
- 28,797
Uchambuzi wangu
Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati.
Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli
Sasa uwanjani waliingia kufanya Nini???