cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,435
- 7,937
Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa.
Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa.
Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee kuhesabu series?
Wengine watasema si lazima kuolewa mbona series zinakuandama?
Kona ya Bwiru