Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

tripof

JF-Expert Member
Apr 2, 2024
760
1,037
Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
 
Kama alimsaliti Karua atashindwaje! From BK to BK.
 
Back
Top Bottom