Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 708
- 1,855
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na kutekwa kwa wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho.
Soma Pia: -
Soma Pia: -
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- LIVE Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024