Boni Yai: Dr Slaa ni Mtu Mwema sana tulipokuwa mahubusu mimi na Malisa alikuwa anatuletea Chai ya Maziwa na Chapati kila asubuhi kabla hata ya family!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,985
170,058
Meya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa

Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana

Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni Mimi na Malisa Dr Slaa alituletea Chai ya maziwa na chapati Kila Siku asubuhi kabla hata familia zetu hazijafika

Boni Yai Amelia sana kwa Dr Slaa kuwekwa mahabusu

Ni huko Ukurasani X

Ahsanteni Sana 🐼
 
Jopo la Wanasheria linamshughulikia Dr. Slaa dhamana iko wazi by monday next week tutakuwa naye na atazidi kuunguruma na kutumia haki yake ya Kikatiba ya freedom of Speech kama raia wa jamhuri hii.

Kama lengo lenu ni kumkomoa basi brace yourselves...
Kumbe mnatambua nchi hii ina utawala kisheria sio?
 
Familia ya Mzee Ali Kibao ndio inaweza kusema iwapo Nchi hii inautawala wa kisheria au la.

Kwamba Dr. Slaa kanyimwa dhamana kwa ajili ya usalama wake asije akashambuliwa na "Wasiojulikana".
Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!
 
Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!
Ninyi mnaowatoa watu magereza usiku na kwenda kuwapa ubunge wa vitu maalumu chadema ili kujustify wizi wenu wa kura kweli mnafuata sheria?!

Kwa HOJA hamtatuweza labda kwa Wasiojulikana na Mapolisi.
 
Back
Top Bottom