Boni Yai amtaka Tundu Lisu arudishe kisu alani mwake Ili family ya Chadema ibaki na Umoja, asema asipotii atamshtaki kwa Viongozi wa Dini na Wazee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,689
Kumekucha Twaha Mwaipaya na Yeriko Nyerere wamempongeza Tundu Antipas Lisu kwa kutangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Boni Yai ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mlinzi wa Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe amemsihi Lisu arudishe kisu alani mwake akimaanisha aachane na Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ili family ya Chadema ibaki na Amani

Pongezi na Makasiriko vinaendelea kutamba Ukurasani X

Baadae Mlale unono 😂🔥
 
Lissu ana uroho wa madaraka, anafanya uongozi kama suala la dharura kwake.

Kwao Singida hajajenga,anafikia gesti, ndio eti aijenge Chadema na nchi.

Hayo mahela ya wabelgiji yamemtoa akili
 
Back
Top Bottom