Kweli hapa ndio bongo ,hapa ndio kwetu hata sio bahati mbaya, kila sekta haiko serious, ebu ona hapa
KWENYE SOKA
Kiatu cha mchezaji bora hapa tz wanachukua wachezaji wawili, malinzi kaamua maana hakuna sheria iliyowahi kuwekwa endapo hali kama hii itatokea
KWENYE UREMBO -MISS TANZANIA
Huku sasa ni balaaa, kwenye mashindano ilionyeshwa IST mpya,
Lakini siku anapewa kapewa kagari kametoka garage sijui million moja kale
KWENYE SIASA -BUGENI
Mbunge anasema, humu ndani wabunge wote tumepata ubunge kwa kuroga na kama wapo ambao hawakuroga basi hawazidi watatu
KWENYE MZIKI
huko kiba kajipodoa, kavaa matiti, sket, brazia, kiremba, shanga, hereni ,mixer mauno et ubunifu, Mara ben kaonyesha tako hadharan
MSIBANI
Rc Arusha na kamati yake wameamua pesa ya rambi Rambi ikakarabati hospital ha ha ha haaaa maafa yasingetokea hiyo hospital ingejuta
Ongezea raha zingine, hapa ndio bongo land, kila idara vituko