Bomba la Gas kuna chenji ilibaki?

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
16,054
11,567
Najiuliza bomba la gas kutoka mtwara hadi kinyerezi lenye urefu wa km 490 lilitumia us$8b, lakini hili la uganda litatumia us$4b kutoka Hoima uganda hadi Tanga umbali wa 1410km. Naona kama sisi tulilizwa hivi hamna chenji iliyobaki kweli?
 
Tena sisi tuna nafuu, hebu compare umbali tu kwanza, mia nne tisine kwa mia moja, mara nne na kidogo! Lakini kuna mambo mengine kama milima, miamba, vijito n.k vimnazingatiwa.
 
Najiuliza bomba la gas kutoka mtwara hadi kinyerezi lenye urefu wa km 490 lilitumia us$8b, lakini hili la uganda litatumia us$4b kutoka Hoima uganda hadi Tanga umbali wa 1410km. Naona kama sisi tulilizwa hivi hamna chenji iliyobaki kweli?

Mkuu hebu tuwekee chanzo cha gharama za bomba la Gesi la Mtwara Dar kwanza ndipo tuwe fair kwenye kufanya comparison.

Nakumbuka kuna wakati Mbowe au Zitto aliwahi kusema gharama za ujenzio wa bomba la gesi zimezidishwa (inflated). Kama ni kweli gharama za Bomba la Mafuta ni chini ya gharama za boma la mafuta Hoima-Tanga, tusije kushangaa kuwa ndio maana wakati wa JK serikali haikuona shida kuukosa huo mradi ili kuwalinda wajanja waliopiga hela kwenye bomba la gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…