Wakuu kuna bomba kubwa la DAWASCO hapa maeneo ya BOKO nyaishozi karibu na petrol station ya GBP,,limepasuka usiku huu,ni HATARI,, muda Wowote kutakuwa mafuruko km ya jangwani, wahusika muwai kuja kulidhibiti hali tete