JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,870
- 6,808
"I was in Europe for seven years working for Ligue 1 and the Champions League, and only six people invaded the pitch.'I arrived in the United States, and in 20 months of work, 16 people have already invaded the pitch. There's a huge problem here. I'm not the problem."
"I love MLS and CONCACAF, but we have to work together. I love helping. I'm not better than anyone, but I have a wealth of experience in Europe. It's fine, I understand their decision, but I think we could do better."
====
Mlinzi wa Lionel Messi, Yassine Cheuko amepigwa marufuku na MLS kuingia uwanjani wakati wa mechi za Inter Miami, Mlinzi huyo alikuwa akiingia uwanjani kama njia ya kuzuia wavamizi wa uwanja kumfikia Boss wake Muargentina Lionel Messi.
"Tangu nilipofika Marekani, katika muda wa miezi 20 ambayo nimekuwa [nafanya kazi Inter Miami], watu 16 wameingia uwanajni kumkimbilia Messi, hapa kuna tatizo kubwa sana, mimi sio tatizo" amesema Cheuko