KERO Bodi ya Usajili wa Wahandisi inachelewesha vyeti hata kama umekamilisha sifa zote za kupata usajili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bodi ya Wahandisi inakera sana, inachelewesha vyeti kwa makusudi, mtu amekamilisha kila takwa la registration, lakini unakuta hadi miezi 3 hadi 6 cheti bado hakijachapishwa.

Ukiuliza unaambiwa bado kipo kwenye mchakato, sasa unajiuliza mchakato gani maana Mhandisi hadi ameapishwa, cheti kinapitia mchakato gani wa muda mrefu hivyo au kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake.

Naomba kujua
 
Back
Top Bottom