Naomba mnisaidie wadau hivi inawezekana aliyefika kiwango cha mwisho cha makato kwenye mshahara akaendelea kukatwa. Toa majibu ambayo una uhakika nayo.
Kama umekopa bank au sehemu nyingine haiwazui board kukata hela yao, kuna jamaa alichukua mkopo kabla hajaaza kukatwa na board saizi anaisoma namba vilivyo na hili ongezeko ndio litakuwa shubiri kwake

Ninamkopo ndio lakini pia ninautaratibu wa kujiwekea hakiba saccos wameshindwa kukata kiwango kinachotakiwa kwakuwa nimefika kiwango cha mwisho na. Bodi waliongeza elf 7 kwenye makato ya awali. Lakini kiwango cha mwisho hakijaguswa bado