Tetesi: Bodi ya ligi imeshaliwa Kichwa

TOFUTITU wote ndio walitakiwa waondoke. Mathalani kama ni watu waopenda kuwajibika na wanaofuata mfumo wa Sasa wa utumishi wa umma wa kuto kukaa ofisini na kutumia walio chini Yao na badala yake wakisikia tatizo wanakwenda viongozi wa juu mara Moja na kusuluisha, wangefika siku ile uwanjani na kuamuru hao mabaunsa fake wakamatwe na polisi na kumwamwamrisha mlizi afungue getintimu ikafanyeazoezi yasingetokea haya.Ila kwa sababu ni mamwinyi limewakatu la kuwakuta
 
Iyo Bodi itavunjwa na Wallec Karia mwenyewe na ndio suluhisho.

Baada ya kuivunja waje na plan ya kutafuta kampuni itakayo pewa dhamana ya kuendesha ligi.

Kampuni itumie sheria za Fifa na kanuni zinazotungwa kwa kushirikisha vilabu katika uendeshaji.

Kampuni iwe na wataalamu na taratibu zifuatwe bila kuingiliwa na Tff.
 
kweli wenye akili wawili tu kule.
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.

Tuendelee kusubiri taarifa rasmi

Hapo kwenye bold inaonyesha unaandika kishabiki hivyo habari yako inakosa sifa ya kuaminika.
 
Back
Top Bottom