Bob Maneke ampigia magoti Mbosso afanye show ya live kabla mwaka haujaisha

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,925
8,415


Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso.

Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso.

Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana demand ya live shows zake imekuwa kubwa sana since afanye show ya kihistoria kwenye Yamaha concert.
 
Dar ishakua na watu wengi maaruf kika kona, ndio maana misiwajui hawa mnao wataja wanaumizana ugoko kwa kupigiana magoti...😶
 
Dar ishakua na watu wengi maaruf kika kona, ndio maana misiwajui hawa mnao wataja wanaumizana ugoko kwa kupigiana magoti...😶
Haipunguzi chochote wewe kutomjua Mbosso unajaribu kujipa umuhimu usiokuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…