sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,925
- 8,414
Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso.
Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso.
Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana demand ya live shows zake imekuwa kubwa sana since afanye show ya kihistoria kwenye Yamaha concert.