BMW 3 Series vs Crown Athlete

Mkuu hiyo topic tulishawahi ongelea humu ndani. Kuna mkuu Bavaria RRONDO Extrovert waliiongelea.

Hapo budget yako tu. Kama zote bei sawa, sass tuangalie running cost.

BMW running cost yake ipo juu. Utauziwa spare ghali (ata kama bei yake halisi sio hiyo), reliability yake nzuri ila inahitaji uwe mtu wa preventive maintenance sio wazee wa kusubiri taa ziwake.

Toyota Crown nzuri kwenye running cost na comfortability. BMW ni sports.
 
Back
Top Bottom