
Blackberry curve 8310 Unlocked inauzwa, just insert any gsm sim card and start using
ni used lakini ipo kwenye hali nzuri sana, like new one
Imewekwa opera mini kwa matumizi ya kubrowse tu internet bila data plan
Phone come with
Wall charger
Usb data transfer na
usb charging cable
Bei dola 100 au 175,000/= kwa Tshs
Chech na mimi fasta kwa pm or here