George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,782
- 6,518
Kwenye account yake ya Twitter, Meek Mill ameandika kuwa amepona maradhi ya tumbo yaliyokuwa yakimtesa kwa kipindi kirefu (miaka miwili) mara baada ya kutumia dawa za asili kutoka Afrika "bitter Kola nuts", Meek Mill anasema amezunguka kwa madaktari wengi lakini walishindwa kutibu maradhi yake.
Bitter Kola nuts zinapatikana wapi hapa Tanzania?
Maradhi ya tumbo yananitesa kwa muda mrefu sasa, labda hii kitu inaweza nisaidia.
Bitter Kola nuts zinapatikana wapi hapa Tanzania?
Maradhi ya tumbo yananitesa kwa muda mrefu sasa, labda hii kitu inaweza nisaidia.