Mkuu unamfahamu vizuri?Hata hivyo Prophet Bushiri ni mganga njaa tu.
Tanzania tuna insane wengi kuliko tunavyojidhania!.Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu.
Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa Afrika Kusini.
Amewaombea Lowassa,Mbowe,Magufuli,Lissu,Samia na Majaliwa kuwa hawatakufa bali wao wenye mpango ndio watakufa.
Mytake.Inawezekana kuna kitu chini ya kapeti
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu.
Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa Afrika Kusini.
Amewaombea Lowassa,Mbowe,Magufuli,Lissu,Samia na Majaliwa kuwa hawatakufa bali wao wenye mpango ndio watakufa.
Mytake.Inawezekana kuna kitu chini ya kapeti
Em ngoja tuone....kama watamuacha basi katumwa na haohao aongee..KAMA NI KWELI YAMEZUNGUMZWA NA HUYO "ASKOFU" , KUNA HAJA YA KUMTAKA AELEZE KWA KINA ,NAHISI KUNA DHIHAKA INAYOKOMAA DHIDI YA SERIKALI
Hii inawahusu hata wale waliomtendea mabaya Ben Saanane.Wanaweza kufanya yote na wakafanikiwa ila wakumbuke njia yetu ni moja tu.
Tuliumbwa kwa Udongo na kwenye udongo tutarudi.