emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 954
- 1,337
Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani.
Watu wa vijijini nyakati hizi wanapenda kufanya maziko ya kifahari hasa mikoa yenye watu wanaojua kutafuta hela huko mjini.
Ninatafuta mahali ninapoweza kupata lift ya kushusha jeneza kaburini (coffin lowering device). Iwe mpya used nitafurahi ukinipa lead.