Bios access problems lenovo g580

africaneagle

Senior Member
Jun 29, 2015
111
27
Jamani nna notebook yangu kama kicha husika kilivyo, nli install ubuntu, baada ya hapo nimeshindwa kuingia kwenye bios kabisa nkichagua bios setup system inaanza, pia nlitoa ubuntu nkaweka windows 8pro, ila hii machine haiingii windows yoyote isipokuwa tu windows 8 na iwe 64bit
Msaada wenu.
 
hapo kwenye windows disable secure boot ili uweze fanya mambo yako kwa uhuru zaidi, itakubali windows nyengine soma zaidi hapa

How To Disable UEFI Secure Boot In Windows 8 & 8.1

pia nnavyofahamu sometime ukieka distro za linux kama hio ubuntu zinabadili UEFI sometime hadi zinaingia kwenye bios, inabidi mtaalam wa ubuntu aje akusaidie hapa,

Sasa hapa ndo ishu maana nikifanya last step inaamkia kwenye windows badala ya hiyo setup
 
hapo kwenye windows disable secure boot ili uweze fanya mambo yako kwa uhuru zaidi, itakubali windows nyengine soma zaidi hapa

How To Disable UEFI Secure Boot In Windows 8 & 8.1

pia nnavyofahamu sometime ukieka distro za linux kama hio ubuntu zinabadili UEFI sometime hadi zinaingia kwenye bios, inabidi mtaalam wa ubuntu aje akusaidie hapa,

Ile last step badala iende kwenye bios ina enda kwenye boot menu angalia kwenye hizi picha unaona ubuntu nimetoa niwezavyo ila loader yake bado naiona kwenye boot menu, picha ya pili ni baada ya Tab nikaswitch menu, kabla sijaweka ubuntu kulikuwa na namba 1 hadi 2 ila tu baada ya ubuntu ilipotea, ambayo ndo bios setup nikichagua hii namba moja inaotoa details kama kwenye picha hapo, press any key to exit ndo only option then Windows inaanza
 
Attachments

  • 1436021949401.jpg
    1436021949401.jpg
    25.3 KB · Views: 81
  • 1436021965817.jpg
    1436021965817.jpg
    18 KB · Views: 71
  • 1436021983107.jpg
    1436021983107.jpg
    49.2 KB · Views: 81
  • 1436021998066.jpg
    1436021998066.jpg
    23.2 KB · Views: 61

Similar Discussions

Back
Top Bottom