Anafaa...jamaa kasema awe anapanda gari moja.....[/QUOTE
Mkuu ni gari moja lakini kwenda na kurudi buku 4400 kwa siku
There fore 4400*30 kwa mwezi nadhan utakua ndo mshahara anaotarajia kulipwa huo.
Mkuu ni Gari moja but kwa siku atakua analipa 4400 kwenda na kurudi
There fore 4400*30 kwa mwezi nadhani itakua imekaribia mshahara anaotaraji kulipwa.