Je una biashara yako utaonyesha au unataka kuiuza msimu huu wa 7 7 2016? Binti mzuri, mchakarikaji, machachari, mchangamfu na mwenye muonekano mzuri anapatikana kwa ajiri ya kukutangazia biashara yako,Anaweza kuongea vizuri na kushawishi wateja, ana uwezo mzur wa kujibu kwa ufasaha, anaweza kuongoza watu wakafanya kazi ya kusambaza taarifa za bidhaa, anaweza kutumia mic au kutotumia... hutajuta!! kwa masasiliano please pm
Karibuni