Naona unatafuta balaaa...huyo si mama Bora na kamwe hata kuwa...ujinga tulionao ni kupenda asiyekupenda. Huyo anapenda hali ya maisha uliyonayo Sasa.Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena
Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.
Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito
Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua
Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine
Hizi ni baadh ya msg zake:
Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.
Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.
Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.
Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.
Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.
Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.
Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
HahahahaMwambie sina kazi
Naombeni maji, someone switch on the fan.Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena
Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.
Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito
Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua
Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine
Hizi ni baadh ya msg zake:
Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.
Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.
Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.
Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.
Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.
Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.
Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
Usioe mwanamke kwa kumhurumiaNawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena
Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.
Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito
Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua
Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine
Hizi ni baadh ya msg zake:
Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.
Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.
Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.
Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.
Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.
Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.
Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
sio tunakuwa jau, nyie ndio mnatuzingua sanaKuna muda mnakuwaga jau nyie machalii
Si huyo binti tunajua utamu wake mpk tukushauri hurudi ama laa??
MTEGOO😅😅😅Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena