Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni kwamba mwenye nyumba ni mtu tunafahamiana nae ila yeye hajui.
Mwenye nyumba nikamuuliza kuhusu maisha ya dogo akaniambia wala hana fujo nisiwaze lolote, nikachimba kidogo kujua kama anavusha lakini akanijibu hajawahi kabisa kusikia hizo habari, anawajua wenye hizo tabia ila hajasikia lolote kwa huyo dogo, huwa ni yeye na marafiki zake wanaopenda kucheza games, kusikiliza muziki, kusoma, n.k.
Mimi sizungumzi umalaya wa kubadili badili mabinti, Hapana !! anakosaje hata mchumba moja ?, nilibaki mdomo wazi maana

- Kijana ana miaka 22 damu inatokota
- kwao pesa si haba zipo anapewa pocket money laki 3 na 20 kila mwez
- sehemu anayoishi ni nzuri self contained laki na 20 kwa mwezi
- kozi anayosoma ni za biashara sio ngumu kihivyo kiasi cha kumbana
- chumba chake kipo maeneo yenye privacy