johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,236
- 168,802
Mods tafadhali wekeni limit za uzi za kuposti kwa kila members isizidi Tatu kwa siku.Kitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels
Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na hata kiintelejensia zilitafutwa na kupatikana pale
Ukimtaka Mtu huna haja ya kumvizia stand wala wapi, unamkuta tu Bills anapewa Warning na milele harudii tena bali anajikita Kwenye Maisha yake ya kawaida
Sijui Shujaa alifikiria nini kubomoa ile kitengo 🐼🐼
Kwan kuna mtu Ana post zaidi ya tatuMods tafadhali wekeni limit za uzi za kuposti kwa kila members isizidi Tatu kwa siku.
ErythrocytesKwan kuna mtu Ana post zaidi ya tatu
Hakuna chochoteKitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels.
Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na hata kiintelejensia zilitafutwa na kupatikana pale.
Ukimtaka Mtu huna haja ya kumvizia stand wala wapi, unamkuta tu Bills anapewa Warning na milele harudii tena bali anajikita Kwenye Maisha yake ya kawaida.
Sijui Shujaa alifikiria nini kubomoa ile kitengo 🐼🐼
Samahani mkuu mzena wanaruhusu kutibu hadi raia au ni viongozi tu na wao kwa wao? Maana naamini patakuwa na madaktari bora sana pale kama lugalo paleKuna jamaa alikuwa anakijibanda chake cha kuuza Totapak,Power No 1, Vodka na Viroba + fegi pale jirani, nikaja kushangaa siku moja namkuta Mzena yupo na tai mmoja mwandamizi nilipoenda kumcheki mzee alipolazwa.
Hakika pale palikuwa ni sehemu ya kujifunza.
Joe akishapiga ulanzi wake , akikumbuka strong room , ikipita basi imeandikwa chaula, basi anapata nguvu ya kuandika chochoteMods tafadhali wekeni limit za uzi za kuposti kwa kila members isizidi Tatu kwa siku.
Sasa zinapatikana makanisani😂😂kiintelejensia
Wao kwa wao + viongozi tu.Samahani mkuu mzena wanaruhusu kutibu hadi raia au ni viongozi tu na wao kwa wao? Maana naamini patakuwa na madaktari bora sana pale kama lugalo pale