johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,225
- 168,794
Kitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels.
Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na hata kiintelejensia zilitafutwa na kupatikana pale.
Ukimtaka Mtu huna haja ya kumvizia stand wala wapi, unamkuta tu Bills anapewa Warning na milele harudii tena bali anajikita Kwenye Maisha yake ya kawaida.
Sijui Shujaa alifikiria nini kubomoa ile kitengo 🐼🐼