Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi.
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka.
Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo ya nchi yetu yasonge mbele.
Tujitahidi kulipa Kodi na tuone fahari kulipa Kodi hizo.