Kwanamna mambo yalivyo ni dhahiri shahiri kwamba kuipata Katiba Mpya bila ccm KULAZIMISHA nakama ndoto ya mchana kweupe, hawa jamaa wanajua kabisa kwamba Katiba Mpya itawaweka pembeni. Sasa watailetaje? WANANCHI tuamke kwa umoja wetu tuwaambie bila kupepesa macho kwamba muda wenu umekwisha tupisheni, vinginevyo tutaangamia kama wapumbavu huku tukiangaliana.
View attachment 2888206