Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

Lethergo

JF-Expert Member
Aug 7, 2023
6,464
11,319
Bila Salamu.

Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao.

Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10 Mwanamke mwenye huruma na Mwanaume hayupo.

Ila sasa unajua nini kinacho dilute ile chuki ya Mwanamke kwa Mwanaume? DINI

Wengi wanazidharau hizi DINI na wengine wanafika mbali na kusema hakuna Mungu hakuna DINI Mungu hana DINI km kuna Mungu nionyeshe nani kamuumba Mungu? Na maswali mengine mengi mengi mengi.

Ila tu niwaambie wale wote wenye mtizamo km huo bila hizi DINI mnazoziona duniani nawahakikishieni Wanaume wengi wangekufa km kuku wa kideli.

Usishangae kwanini kwenye haya makanisa mengi ya manabii na mitume waliojazana kwa wingi ni Wanawake, haujiulizi kwanini?

Kwanini Wanawake inamaana Wanaume hawatambui umuhimu wa DINI zao?

Wanawake wanajiweka karibu na DINI ili kujipunguza makali ya kufanya machafuko kuwateketeza Wanaume maana Mwanamke kumteketeza Mwanaume ni suala la kugusa tu. Ila kwa sababu wa uwepo wa DINI wengi wao huacha kufanya hivyo. Kwa hio alie engineer suala la dini aliona mbali sana kuhusu hawa Wanawake.

Niishie hapa.
 
Bila Salamu.

Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao.

Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10 Mwanamke mwenye huruma na Mwanaume hayupo.

Ila sasa unajua nini kinacho dilute ile chuki ya Mwanamke kwa Mwanaume? DINI

Wengi wanazidharau hizi DINI na wengine wanafika mbali na kusema hakuna Mungu hakuna DINI Mungu hana DINI km kuna Mungu nionyeshe nani kamuumba Mungu? Na maswali mengine mengi mengi mengi.

Ila tu niwaambie wale wote wenye mtizamo km huo bila hizi DINI mnazoziona duniani nawahakikishieni Wanaume wengi wangekufa km kuku wa kideli.

Usishangae kwanini kwenye haya makanisa mengi ya manabii na mitume waliojazana kwa wingi ni Wanawake, haujiulizi kwanini?

Kwanini Wanawake inamaana Wanaume hawatambui umuhimu wa DINI zao?

Wanawake wanajiweka karibu na DINI ili kujipunguza makali ya kufanya machafuko kuwateketeza Wanaume maana Mwanamke kumteketeza Mwanaume ni suala la kugusa tu. Ila kwa sababu ya uwepo wa DINI wengi wao huacha kufanya hivyo. Kwa hio alie engineer suala zima la dini aliona mbali sana kuhusu hawa Wanawake.

Niishie hapa.
 
1.Japan
2.Korea ya kaskazini.

3.china

4.swedeni

Hizi ni kati ya nchi ambazo waislamu na wakristo idadi yao ni ndogo mno ambayo wala haiwezi kuleta effect kwenye maisha ya watu, je unafahamu hizo ni nchi ambazo ndoa zinadumu kuliko nchi nyingine zozote?
 
Wanaume ndio chanzo cha matatizo yote makubwa duniani
Rudi kwenye vitabu vya dini ujitathimini kidogo, tuanze pale bustanini nini kilitokea? Kwanini Ibilis Shetani hakumfuata Mwanaume na Mwanaume alikuwepo kabla ya Mwanamke? Maana yake Iblis alimshindwa Mwanaume hata alipoambiwa amsujudie aligoma ila alitambua hamuwezi Mwanaume njia pekee ya Iblis Shetani kummaliza Mwanaume ni kwa kupitia Mwanamke
 
Sijajua unatumia kitabu gani cha hadithi ila kwa nini mwanaume alimsikiliza mwanamke ??
 
Kuna makabila ambayo hayajapokea dini yoyote kati ya hizo mbili

1. Ba mbuti,wanaoishi msitu wa kongo

2.wahadzabe .

3.wasan ( bushman ) South Africa.

Na bado wanawake hawajaua waume zao na ndio jamaii ambazo mahusiano yanadumu na kuishi mda mrefu kati ya mke na mume.
 
Naamini pia wanawake wote wangeteketea.

Maana hata wanaume wangeamua kuteketeza akina mama basi wangeanza wao kuisha.
 
Ulivyoandika utafikiri dini ndo ilianza kuwepo kabla ya mwanaume na mwanamke!
Soma vitabu vya dini utaelewa jambo, vitabu hivyo vinazungumzia uwepo wa Mwanaume kabla ya Mwanamke maana yake hapo kabla Mwanaume hakua na tofauti yoyote na CREATOR mpaka pale alipoletewa Mwanamke ndio tofauti zikajitokeza na baada ya tofauti hizo Mwanaume alifukuzwa sababu akufuata makatazo aliyopewa aliamua kumsikiliza Mwanamke balada ya kumsikiliza Creator wake alimkataza nini, km Mwanaume angegoma kula lile tunda alilokatazwa basi Wanaume wote tungekua paradiso huko sijui unaelewa?
 
Naamini pia wanawake wote wangeteketea.

Maana hata wanaume wangeamua kuteketeza akina mama basi wangeanza wao kuisha.
Kwa hio hapo unamaanisha nini? Maana unaenda mbele kisha unarudi nyuma, wanawake wanaouwezo wa kuwateketeza Wanaume maana wao si ndio wanaoleta viumbe duniani au haujui? Wakiamua kwamba dunia iwe ya Wanawake tu basi sio suala la kuuliza ni kubonyeza # tu na Okay
 
Nyongeza :mwanamke kila mwezi ana siku 10 za kua kichaa na anaweza kufanya maamuzi ya ajabu ndani ya siku hizo , siku tatu kabla ya kuingia period , siku tatu au nne za period na siku tatu baada ya period hapo mwanamke hatumii akili yake timamu , ndani ya muda huo anaweza kufanya lolote ikiwamo kucheat , kununa na maamuzi mengine ya ajabu , hivo mwanamke Yuko timamu kwa siku 20 Tu kila mwezi
 
Back
Top Bottom