pistmshai JF-Expert Member Dec 12, 2016 1,313 3,683 Feb 1, 2017 #2 sasa bila maumivu kivipi...! mtu mwenye "choo kigumu (constipation)" akitumia hicho choo atajisaidia bila maumivu..?
sasa bila maumivu kivipi...! mtu mwenye "choo kigumu (constipation)" akitumia hicho choo atajisaidia bila maumivu..?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Feb 1, 2017 #4 Aisee utadhani choo cha peponi
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 49,249 117,645 Feb 1, 2017 #5 Daah! Jamani kuna watu wanajipenda.
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Feb 1, 2017 #6 kunya ni kunya tu, choo mbwebwe. hata uweko dhahabu chooni lakini kazi itakayofanyika ni kama ile nitakayofanya kichakani tu.
kunya ni kunya tu, choo mbwebwe. hata uweko dhahabu chooni lakini kazi itakayofanyika ni kama ile nitakayofanya kichakani tu.
ramsoshare Member Oct 17, 2016 65 48 Feb 1, 2017 #7 Hata apambe vipi hapatakuwa chumbani itabaki kuwa chooni tu.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 Feb 2, 2017 #8 Panahitajika usafi wa hali ya juu. Ukishikwa na Tumbo la Kuharisha, muda wa kusukuma Cheche za Uharisho lazima ziruke na kutapakaa. Au muda wa kujisaidia Uharisho lazima utapakae
Panahitajika usafi wa hali ya juu. Ukishikwa na Tumbo la Kuharisha, muda wa kusukuma Cheche za Uharisho lazima ziruke na kutapakaa. Au muda wa kujisaidia Uharisho lazima utapakae
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,417 Feb 2, 2017 #9 ndanda masasi said: Click to expand... Halafu kinachotoka hapo ni uvundo mtupu
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,417 Feb 2, 2017 #10 MKWEPA KODI said: Aisee utadhani choo cha peponi Click to expand... kaka ulishawahi kufanya ziara huko?
MKWEPA KODI said: Aisee utadhani choo cha peponi Click to expand... kaka ulishawahi kufanya ziara huko?
Clueless14 JF-Expert Member Aug 27, 2014 3,107 4,746 Feb 2, 2017 #11 HARUFU said: Panahitajika usafi wa hali ya juu. Ukishikwa na Tumbo la Kuharisha, muda wa kusukuma Cheche za Uharisho lazima ziruke na kutapakaa. Au muda wa kujisaidia Uharisho lazima utapakae Click to expand... Eewwww!!! Nasty! Ila doh!
HARUFU said: Panahitajika usafi wa hali ya juu. Ukishikwa na Tumbo la Kuharisha, muda wa kusukuma Cheche za Uharisho lazima ziruke na kutapakaa. Au muda wa kujisaidia Uharisho lazima utapakae Click to expand... Eewwww!!! Nasty! Ila doh!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,417 Feb 2, 2017 #12 GIUSEPPE said: kunya ni kunya tu, choo mbwebwe. hata uweko dhahabu chooni lakini kazi itakayofanyika ni kama ile nitakayofanya kichakani tu. Click to expand... Wanasema environment matters kwamba kitakachotoka hapo ni tofauti kabisa na kile cha vichakani
GIUSEPPE said: kunya ni kunya tu, choo mbwebwe. hata uweko dhahabu chooni lakini kazi itakayofanyika ni kama ile nitakayofanya kichakani tu. Click to expand... Wanasema environment matters kwamba kitakachotoka hapo ni tofauti kabisa na kile cha vichakani
ndanda masasi JF-Expert Member Jun 2, 2014 772 1,177 Feb 2, 2017 Thread starter #13 Nakuchulia poa unavyoponda Pot ya MTU mzima kule mjengoni. Attachments 1486043013942.jpg 42.8 KB · Views: 31