Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,524
- 24,040
Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu.
" Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia huko huko na shida zenu."
Huyu unakuta yeye ndo kiakili ana matatizo maji kupwa maji kujaa....so ana imagine vitu havipo.
Mwingine unakuta mpweke hajatongozwa miaka mingi.... Anakuna anzisha uzi.
" Hamnipati nyie wanaume, mimi siyo malaya najiheshimu na waambieni mademu zenu waaache kusema nawachukulia mabwana zao. Uzuri wangu mimi si wa kila mtu naitunza K yangu kwa mwanaume wa kweli...kenge nyie"
Kumbe hajatongozwa ila ana practice kama angekuwa anatongozwa sana na mzuri angekuwa anajibu nini. Anajaribu kujenga attention watu wamfuate private.
Mwingine sababu anadharaulika utakuta tu anaanza jisifia kujimwambafy....
" Mimi ni karimati, demu changer, the gillete n.k yaani anapachika pachika kila neno analolijua ili watu wamjengee attention. Na utakuta huyu kwa siku nyuzi tatu, nne n.k sababu ya upweke na kutafuta attention.
Kuna demu ukisoma nyuzi zake unajua tu ana sonana sijui kisonono...yaani kila wakati anaanzisha uzi. Mara napita mnanisonya, mara wanawake JF mnaniangalia kwa jicho baya, mara nimechoka kutongozwa kila wakati. Unaona huyu naye ndo wale wale...dish limeyumba, anataka attention n.k
JamiiForums imesaidia sana watu kama hawa. Wanapata nafasi ya kutoa mawazo yao ambayo huko kwao hamna wa kuyasikiliza. Wakija huku wanakutana na sisi machizi wengine tunawasupport basi wanatabasam wanaghairi kujiua.
Wengi humu wangekuwa wameshajiua nakwambia. Wapweke sana. Jamii imewatenga, imewadharau... Wanakuja huku kujenga heshima. Tuwasaidie...hata mimi mkiona kama kidogo nayumba mnisaidie tu. Au mnapenda mje msikie nimekunywa sumu ya mende?
Humu ndani alikuwepo deogratias. Network ilikata kabisa. Tukamsaidia siku hizi simwoni. Na jina alikuja badilisha... Akawa anajiita siju Don nani.