four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,408
Habari wadau,kwa wale wapenzi wa kubeti bila shaka mtakuwa mnaifahamu kampuni hii ya kubetisha online ya bikosports.
Hii kampuni nimeanza kuhisi ni kikundi cha matapeli sababu imekuwa shida sana kulipwa pesa zako unaposhinda mkeka na wakat mwingine usilipwe kabisa.
Mfano hai ni mm mwenyewe wiki tatu zilizopita nilibet mikeka kadhaa ambayo nilishinda pesa lakini mpaka leo ni wiki ya nne kila nikipiga simu naambiwa kulikuwa na matatizo kidogo tupe namba ya tiketi zako tutakutumia pesa,ukishawapa hzo namba za ticket ni kimya.
Najiuliza je hawa ni matapeli au ni desi mpya imeibuka ?