Wanajamvi "Mnyonge mnyongeni,lakini haki yake mpeni" . Hawa ITV pamoja na weaknesses walizonazo naona ndio kituo pekee cha TV nchini ambacho kipo serious kutuhabarisha yanayojiri East Africa na maziwa makuu. Pokeeni pongezi zangu ITV...Leo nimeona wameongeza ripota Uganda...Hii ina maana kwa sasa wanatuletea habari za
1.Burundi
2.Kenya
3.Uganda
4.Rwanda na
5 . Congo DRC