Tuliwaamini sana Supper Sports ya South Africa kwenye soka wakitumia mwanya wa sheria zetu kudhibiti vituo vya television. Sasa hawa jamaa wa Bidvest Wits wanatuambia eti mashindano ya CAF hawayatilii umuhimu kama ligi yao. Kama kawaida whistle-blower hapa wanatetea jambo hilo. Hawa wameshindwa tu kimchezo na Azam na wasiidharau michuano ya shirikisho letu la Afrika.
Wachezaji wao watano tegemeo wa first eleven hawakucheza kwenye game zote mbili... And Ligi yao ina zawadi kubwa sana kuliko mashindano ya Shirikisho na wao wako nafasi nzuri ya kugombea ubingwa kule kwao...