ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,327
- 50,565
Nitajie vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa kutembeza na havipatikani ovyo ovyo mitaani ambavyo ni adimu kwa mfano labda asali.
Vyombo kama wahaHeadache qns
We si uuze korosho hapo Masasi?Nitajie vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa kutembeza na havipatikani ovyo ovyo mitaani ambavyo ni adimu kwa mfano labda asali.
Vyombo sio biashara aghalabu waha wamejazana mtaani na ma-housewaresVyombo kama waha
Nilitaka kujibu hiviVyombo kama waha
AtembezeTembeza mchuzi wa pweza
Huyu nae Ka mwangaaAtembeze
Chips
Bata wa kuchoma
Kuku wazima kwenye matenga
Mchele uliopimwa kwa kilo akiweza na maharage
Unga uliopimwa kwa kilo, sukari, ngano
Awe anatembeza vitanda na masofa mtaani
Mwisho achukue kofia, vitenge na mashati ya CCM atembeze mtaani kipindi hiki cha uchaguzi atauza sana