Biblia iwe Agano la Jadi/Mila badala ya Agano la Kale (video clip)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,380
The Name of a Holy BIBLE should be Named again(Should be Changed). Follow the Reason on this video Clip.

Jina la BIBLIA linatakiwa kubadilishwa. Fatilia sababu za kubadilisha katika video clip hii. Pitia LINK hii ya Facebook upate yote.Deogratius Nalimi Kisandu
 
Badilisha tu ndugu Deogratius Nalimi Kisandu.
Unamtaka nani abadilishe wakati wewe ndio mwanzilishi wa wazo hilo ?
Wewe badilisha na watakao afiki badilisho lako wata kuunga mkono.

Ndugu Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…