Habari ndugu zangu, natumaini wote mpo salama. Niwatakie kheri ya X-mass na mwaka mpya.
Swali langu la Leo ni, Je biashara ya Uber na bolt kwa kutumia gesi asilia inaendaje?
Zingatia:
-Faida ya dereva anayopata kwa mtungi mmoja wa gesi,
-Je gharama za matengenezo ya gari yanaongezeka baada ya kufunga mfumo wa gesi?
-Changamoto za kutumia mfumo huo ni Zipi?
-Sehemu gani nzuri kufunga mfumo huu!
Asanteni sana, na natarajira kusikia kutoka kwenu.