Biashara ya uber/bolt kwa bajaj

iamriq_arthur

JF-Expert Member
May 1, 2021
421
996
Aseeh, me ni kijana nmejitahidi kutafta mtaji kwa muda mrefu, nmepata kiasi kidogo nataka niingie kwenye biashara ya uber/bolt ya bajaj, nipeni muongozo na ushauri wenu jaman
 
Back
Top Bottom