Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.