aBuwash
JF-Expert Member
- Dec 26, 2023
- 262
- 497
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la nafaka DAR lakini mimi mi mgeni katika biashara, sijui nafaka gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje.
Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali